Hii Ndiyo Picha Halisi ya kimondo kilichopo Ndolezi Mbozi
Hivi ndivyo jiwe hili linavyo onekana kwa ukaribu kabisa
Haya ni maji ambayo huwa hayakauki hata siku moja, hii ni kwa sababu ya Jiwe lenyewe lilivyo na kuwa na Ubaridi wa kipekee
Hizi ni Baadhi ya nyumba ambazo zipo hapa Ndolezi, katika jiwe hili la chuma
Watalii kibao wanakuja kutembelea
Fredy Tony pia anapata nafasi sana kila akitua mbozi Lazima akatazame jiwe hili la aina yake.
****************
Ndugu zangu wa Mbozi , Hiki ni moja ya kivutuio tulivyo navyo katika wilaya yetu ya mbozi, lakini watu wa Mbozi sisi wenyewe inasikitisha kuona wachache wetu ndio wamewahi kuona hiki kimondo pengine kuna wengine ndio mara yao ya kwanza kuona eneo hili.
Tunahitaji watalii zaidi kuja kuona kimondo hiki hapa, hivyo basi ukimaliza kusoma link hii basi na wewe bofya hapo pameandikwa share kisha share na wenzako kibao. asanteni sana
Picha zote zimepigwa na Mtandao huu wa Wilaya ya Mbozi
No comments:
Post a Comment
Asante kwa maoni yako. Karibu tena