Social Icons

Pages

Tuesday, 25 September 2012

KARIBU KATIKA TOVUTI MAALUM KWA AJILI YA WILAYA YA MBOZI !

Baada ya Kukaa Muda mrefu na kufikiria ni jina gani litumike katika Tovuti yetu maalum ya Mbozi sasa, kwa kuzingatia mambo mengi sana imebidi tovuti yetu iitwe MBOZI tuu kama ilivyo maana ni jina ambalo ni Zuri na lilikuwa available kwa Sever, Kimsingi tumeona tusiongeze kitu. Lakini jina la tovuti ndio liwe wilaya ya Mbozi.
Zaidi ya hapo tumeita www.mbozi.blogspot.com  kwa sababu ni rahisi sana kuandika. 
Karibuni kwa maoni sasa

1 comment:

  1. Hii ni safi kwa kuendeleza wilaya yetu pendwa Mbozi. Ona Tanzania nzima masettler wa kizungu walikimbilia hapa kuanzisha kilimo cha kahawa hadi tukapata mbegu bora ya Nylon au Mbozi Proper (kahawa)

    ReplyDelete

Asante kwa maoni yako. Karibu tena

 

Sample text

Sample Text

Sample Text